Biography
Changamkia fursa ni Chanel ya Uhamasishaji kwa Wafugaji wa Kuku wadogo na wakati. Mimi ni Hamis Rashidi ni Mfugaji wa Kuku wa Kienyeji na Chotara. Ikiwa una nia ya kuanzisha ufaugaji wa kuku, au tayari umeanzisha, haswa Biashara ya Ufugaji wa Kuku nchini Tanzania, basi hii inakuhusu. Nina vidokezo na suluhisho, ambalo ningependa kushiriki nawe, kukusaidia kupata mafanikio katika biashara yako. Lengo langu ni kutafuta njia ambazo Biashara ya ufugaji wa kuku zinaweza kufanikiwa nchini Tanzania, kusaidia kukuza Tanzania na bara la Afrika kwa ujumla. Kwa hivyo! .. Ikiwa unaishi Tanzania, au wewe ni Mtanzania unayeishi nje ya nchi, Mwafrika au la, unatafuta maarifa juu ya biashara ya ufugaji, ninakualika ungana nami kwenye idhaa hii tutajifunza na kukuza biashara kwa pamoja. SUBSCRIBE, COMMENT, LIKE & SHARE Biashara na Matangazo what's app +255 (0)752209073 Email: [email protected]
Audience
Unlock the profile of UCkIxL-ip7LnOagr76gE6DJA and access full database of Influencers. Request a Demo Unlock
Engagement
Engagement Rate
• Compare the engagement rate of UCkIxL-ip7LnOagr76gE6DJA with similar accounts
Likes and Comments
• Relationship between likes and comments in recent posts
Unlock the profile of UCkIxL-ip7LnOagr76gE6DJA and access full database of Influencers. Request a Demo Unlock
Growth
Follower and Post Growth Trends
120K
Engagement Rate Growth Trends
0.000%
Notable Engagers
Unlock the profile of UCkIxL-ip7LnOagr76gE6DJA and access full database of Influencers. Request a Demo Unlock
Mentions
Stats
Mentioned accounts
Mentioned hashtags
Recent Posts
* Copyright: Content creators are the default copyright owners. These Images are published on public domains and respective social media for public viewing.
